Hurry Up! Chanel Itafungwa Baada ya 91 d : 05 h : 24 m : 15 s

JINSI $69 ILIVYOANZISHA SAFARI YANGU YA KUTENGENEZA ZAIDI YA SHILINGI MILLION 50 NDANI YA MWAKA 1 KUPITIA

“Forex Trading”

Pia Fahamu jinsi na Wewe  utakavyotengeneza  ndani ya mwaka 2024 Kwa Kutumia MFUMO Tuliouficha Ndani ya “Trading Community” yetu ya

“Fxsetuphub”

Rafiki Mpendwa…

Je unataka Kupata Faida na kujenga Ujuzi wenye UHAKIKA wa Kukuingizia Kuanzia Tshs 1,000,000+ Kila mwezi Mtandaoni…na hata Kukulipa Maisha yako yote bila kutegemea Ajira?

…kama umejibu Ndio basi huu ndio ujumbe muhimu zaidi utakaosoma leo

Na ndani ya sekunde 60 zijazo nitakwambia ni Kwanini:

Fxsetup hub Ni Community Bora zaidi ya Forex kuwahi kutengenezwa Tanzania… I Highly recommend kwa Kijana yeyote anayetaka kutoroka katika Mfumo wa Ajira”

Na....

kama utafanya kila kitu tutakachokufundisha na kukuelekeza ndani ya Jamii (community yetu) unayoenda Kujiunga nayo muda mfupi ujayo…

…basi ndani ya mwaka 2024 utakuwa na UHAKIKA wa kutengeneza  

Tshs 1,000,000…Tshs 2,000,000… Tshs 3,000,000…Tshs 4,000,000+

au zaidi kila mwezi maisha yako yote tena bila kutoka ndani kwako Na kikubwa zaidi kuhusu Biashara hii ni kwamba…

“Hauhitaji MTAJI Mkubwa ili kuanza, Hauhitaji ELIMU Kubwa ili kuifanya, wala hauhitaji hata kutoka ndani kwako….kitu pekee unachohitaji ni Masaa 5 Tu kwa wiki, Internet Connection, Smartphone au Laptop na UJUZI unaoenda kujifunza”

Utashangaa jinsi ilivyo Rahisi Kutengeneza angalau Milioni  50+ kwa mwaka kwa kujiunga nasi na kutumia MFUMO wetu unaoenda kuuona muda mfupi ujao…

…Kama jinsi hawa Memba wa FXSETUP HUB Wanavyosema hapa chini…

Hi, Jina langu ni Paul Salewi.

Naishi Arusha…

Na hii ndio Story yangu fupi…

Mpaka 2019 sikuwa najulikana kwa hiki ninachokifanya kama jinsi wengi wanavyonijua sasahivi kama “fxsetupmaster”

…kwani ndio mwaka niliyoanza kujitafuta kwa kujifunza Forex Trading ili kujitengenezea KIPATO kitakachobadili maisha yangu  pia  Sikuwa hata na pesa ya Kulipia Courses, Mentorships wala Coaching za Forex Trading…kwasababu bado nilikuwa NAJITAFUTA

Niliamua kujifunza mwenyewe kupitia Vitabu, pamoja na Videos za Experts mbali mbali kutoka South Africa, Nigeria, UK, USA Nk…

…nilitapeliwa Pesa Nyingi sana na FAKE Mentors wa online kati kati ya safari yangu ya Forex Trading pamoja na KUCHOMA zaidi ya Accounts 10… (Blow up)

Baada ya kufanya MAKOSA mengi… siku moja nikiwa restaurant moja mjini Arusha nilibahatika kuwakuta James na Shantelle wakijadili kuhusu forex trading…

Meza yao na yangu haikuwa mbali sana hivyo niliweza kunasa mazungumzo yao (Hapa nilikuwa snich) niliweza kusikia Masikitiko yao jinsi wanavyopoteza kwenye forex…Shantelle alionesha kukata tamaa maana tayari akaunti yake ilikuwa imeunguza $300 Muda mfupi uliopita..

Gafla Nikagundua Changamoto walizokuwa wanazipitia ndizo nilizokuwa nazipitia na mimi Sikuona aibu kuomba kuungana nao katika meza yao Tulijadili mengi Mwishowe tuliazimia Kuanza Ku trade pamoja…

Huwezi Amini…

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mafanikio yangu…Nakumbuka wakati tunaanza ku trade pamoja nilikuwa na akaunti yenye $69 tu…Baada ya kukaa pamoja na kutengeneza Mfumo uliotuwezesha kujua:

…na kuanzia siku hiyo Hatujawahi kurudi nyuma mpaka leo 2024  Na hapo ndipo Tulipoanzisha trading community ya  “FXSETUPHUB” ili kuwasaidia Wengine kama wewe Kufanya vizuri Katika  Forex Trading…

…na mpaka sasa tayari tumeshawasaidia zaidi ya watu kama wewe zaidi ya 2,569+ kupata faida sokoni na hapa ndipo tulipotengeneza mfumo wa SIRI na imara Ambao Umekuwa Msindi wa Mafanikio yetu….

Najua utakuwa unajiuliza….

Well…

Hawa hapa walikuwa hawajui kabisa kuhusu Forex Trading na wengine walikuwa wanachoma akaunti sana na hivi ndivyo wanavyosema Sasa hivi Baada ya kujiunga na community Yetu….

Hizi ni Nusu Tu ya SIRI Unazoenda Kupata Ndani ya Fxsetup hub 

…na SIRI Zingine Kibao!

Na… Ndani ya Fxsetuphub unaenda Kupata

  • Free 3-5 Forex Signal daily
    New
  • Live Trading
    New
  • Live market analysis
    New

Thamani Halisi ya Huduma Hii ni $500 kwa Mwezi…

LAKINI…

…Ukijiunga na FxsetupHub Yetu Leo Utapata Vyote Hivi….

“Bure”

… Tumia Advantage hii SASA HIVI Kabla muda haujaisha!